You are currently viewing EACC yakamata maafisa kumi na mmoja kaunti ya Vihiga

EACC yakamata maafisa kumi na mmoja kaunti ya Vihiga

Tume ya maadhili na  kukabili ufisadi EACC imewatia maafisa kumi na mmoja wa  serikali ya kaunti ya vihiga mbaroni kufuatia tuhuma za ufisadi

Miongoni mwa waliokamatwa ni afisa mkuu wa idara ya matibabu Arnold mamadi na mkrugenzi wa  idara ya ununuzi godfry oyaro

Msemaji w idara ya EACC  Erick ngumbi amesema washukiwa watatuhumiwa katika wizi wa shilingi  milioni 17 .

Washukiwa hao walikamatwa kufuatia msako uliofanywa katika kaunti za Nairobi,ksiumu,Vihiga na Uasin Gishu.

Wanatarajiwa kusafirishwa kutoka Kisumu hadi kakamega ambapow arafikishwa mahakamani baadae leo hii.

Leave a Reply